Niliwahi kuangalia nilivyoseviwa na mchepuko,nikaona nimeandikwa "miss call".
Kwahiyo means hata nikipiga akiwa na jamaa yake ikiita hata jamaa akishika inaonekana miss inadisplay tu
loading error....Loading.....................hhh
Mi alinisave msumbufu,..
Kuna mwingine alikuta kaseviwa
"Guantanamo Bay"
duh hatari