Wana taaluma nauliza hivi mtu mwenye elimu ya Stashahada ya uzamili katika elimu (Postgraduate Diploma in Education ) anaweza akawa na sifa ya kuajiriwa na kwenda kufundisha shule ya msingi au elimu yake ni kubwa hivyo primary school sio size yake
Mnijuze Tafadhali.