ππHio umeliwa boss mimi haijarudigi hadi leoπππ kwa usalama wako ondoa tu acc yako kwenye apple maana ipo siku utajichanganya tena mimi apple hawajarudisha mpaka leo tsh 39900
Nilijikuta nimejichanganya hapa nikacancel na kuomba refund hio hela haijarudi huu ni mwezi wa tatuππ
Dah wabongo tuna harakati kinomaππNilijikuta nimejichanganya hapa nikacancel na kuomba refund hio hela haijarudi huu ni mwezi wa tatu
Bahati mbaya ilitokea nilikua nimeunganisha na acc ya visa kwaajili niwe nalipa space kila mwezi i cloud gb 50 kwa 1900tsh sahz ni 2500tsh maana iphone yangu ilikua na space ndogo kwahio nikajikuta nimesubscribe hio app bila kujua na siku hio bank hakukua na hela nilipokuja kuweka mawe tu walifyeka mzei chapDah wabongo tuna harakati kinomaππ
Utapataje wakati haukuituma hiyo pesa! utasubiri sana.Hi,
We received your refund request of TZS 136,000.00 for Free Trial (Rapid VPN - Safe Secure Proxy), transaction ID GPA.3378-7455-7203-67380..0. We'll review your request and send a response within 1 to 4 business days. To check the status of your refund, go to the refund status or to your Google payments profile.
To prevent accidental or unwanted purchases in the future, you can turn authentication on, check your authentication settings, or change your password. If you use biometrics for purchase verification, use caution in storing biometrics of children or others on your device, as those could be used for purchase verification.
Thanks,
Aisee π€Bahati mbaya ilitokea nilikua nimeunganisha na acc ya visa kwaajili niwe nalipa space kila mwezi i cloud gb 50 kwa 1900tsh sahz ni 2500tsh maana iphone yangu ilikua na space ndogo kwahio nikajikuta nimesubscribe hio app bila kujua na siku hio bank hakukua na hela nilipokuja kuweka mawe tu walifyeka mzei chap
Umepata??Mungu mwema bwana