MamaaRehema
Member
- Feb 13, 2014
- 78
- 18
Napatikana Morocco dar es salaam, namikoani pia tunahudumia. Karibu mkuuMkuu ntakutafuta, wapo maeneo unayopatikana?
Ok! Pm kama vp mida ya jion nikitoka Job ntapitia, na ni morocco ip?Napatikana Morocco dar es salaam, namikoani pia tunahudumia. Karibu mkuu
mikoani ndio wap! ?Napatikana Morocco dar es salaam, namikoani pia tunahudumia. Karibu mkuu
Jengo la BayPort?Napatikana Morocco dar es salaam, namikoani pia tunahudumia. Karibu mkuu
Packaging tu inaonesha bidhaa kiwango cha juu.Karibuni kwa perfume za kiume nzuri na zaukwel bei kuanzia 47,000 mpaka 79,000 weka oda yako sasa.
Ukihitaji kupata punguzo pia karibu utaelekezwa.
Nitafute kwa whatsapp/ text/ call +255 (0) 717 343635
View attachment 353347View attachment 353349View attachment 353350View attachment 353351View attachment 353353View attachment 353354
Ndio ila bidhaa unanunua kwa consultant tu so karibu ununue kwangu na utanifahamisha lini unakuja coz sio mda wote nakuwa ofisin.Jengo la BayPort?
Hizo sina nina brand tofauti kutoka oriflame.MamaaRehema Ndiyo hizo tu uko nazo nahitaji kama upo na mojawapo kati ya hizi CK one,Issey Miake, ama Hugo boss sports uweke na bei zake pia.
Mimi niko dar so mikoa mingine yote ni mikoani. Ila sorry kama nimekosea.mikoani ndio wap! ?
Hi chek pmOk! Pm kama vp mida ya jion nikitoka Job ntapitia, na ni morocco ip?
Karibu waweza jaribu na zetu ni nzur sn.MamaaRehema Ndiyo hizo tu uko nazo nahitaji kama upo na mojawapo kati ya hizi CK one,Issey Miake, ama Hugo boss sports uweke na bei zake pia.