Uto...wanaguswa sana na yanayoendelea Simba.Tunaendelea kuchukua ushauri tutaufanyia kazi. Endeleeni kushusha ma uzi kama yote.
Waache wahangaike na Simba wanasahau ya kwao yani mpk wamemsahau Aziz kii wao maana ndo alikua kawakaa mdomoniUto...wanaguswa sana na yanayoendelea Simba.
Kaburu mzuri lakini nae ntu wa dili muda mwingneHanspope ndio aliwafanya kina Babra na try again waonekane Bora afadhali wamrudishe kaburu
Ndio wale wale tuVp yule mfungua mikutano[emoji23][emoji23]