Kwani cheti gani kinaokotwa?kama huna vigezo kaa kando pisha wenye vigezo waombe.pia kila mtu na taaluma yake we unataka mpaka mtu wa human resources awe na cpa?tumia kichwa chako vizuri wewe.
Ni kweli waajili wengi wanataka kuitania CPA, kwa kuchukua advantage ya ufinyu wa ajira. Tena nadhani NBAA wanatakiwa kuweka standards za mishahara ili kulinda integrity na hadhi ya CPA. Hawakawii kumwambia mshahara 1 M