pettymarcel
JF-Expert Member
- Jun 17, 2012
- 2,161
- 883
Du hivi si hata mimi jitu zima natumia
Namba ya simu please
Safi...!
Karibu Sana boss
Wakuu Tunatablets za watoto zenye sehemu ya kuweka Line
Zinatumia WiFi
Line ya kawaida so ni simu as well
Ina application zote Kama smatphone ilivyo
Waweza download games za watoto
Study activities za watoto
Ni nzuri Sana set yake inakuja na miwani ya kusomea kumkinga mtoto asiumie na Mwanga wa tablets
Zipo Mwanza Nyegezi
Popote tunatuma kwa Uaminifu mkubwa
Bei yetu Ni 120,000 tu
Waweza kukufollow katika page yetu ya Instagram kuona bidhaa mbalimbali
Vituused_mwanza
WhatsApp 0763772636View attachment 1543180View attachment 1543200
Imebaki moja halafu unatangaza kuuza uko serious kweli?Karibuni Sana imebakia moja tu kwa atakae hitaji anichek WhatsApp 0763772636
Kwa hiyo nikishuka hapo Mwanza Nyegezi(kwa sauti ya Diamond na Rayvanny) nazipata mkuu???
Imebaki moja halafu unatangaza kuuza uko serious kweli?
Niko serious bro maana Kama ipo sokoni lazima nitangaze zilikuwa 12 wamenunua bado moja
Karibu sana
Ikibaki moja haitakiwi kuuzwa?Imebaki moja halafu unatangaza kuuza uko serious kweli?
Ikibaki moja haitakiwi kuuzwa?