Ntigy JF-Expert Member Joined Mar 23, 2014 Posts 489 Reaction score 270 Apr 2, 2016 #1 Nauza samaki wabichi aina ya sangara kwa jumla na rejareja,bei ya jumla ni sh.5500 kwa kilo. Hii ni kuanzia kg 5 na kuendelea. Kwa rejareja ni sh. 6500 kwa kilo. Hii ni kuanzia nusu kilo hadi kilo 4 na nusu. Wote mnakaribishwa! Last edited: Jul 29, 2018
Nauza samaki wabichi aina ya sangara kwa jumla na rejareja,bei ya jumla ni sh.5500 kwa kilo. Hii ni kuanzia kg 5 na kuendelea. Kwa rejareja ni sh. 6500 kwa kilo. Hii ni kuanzia nusu kilo hadi kilo 4 na nusu. Wote mnakaribishwa!
Munyanka JF-Expert Member Joined Sep 21, 2015 Posts 233 Reaction score 82 Apr 2, 2016 #2 Sawa mkuu ntakutafta soon bei nzuri sana kwetu wafanyabiashara na watumiaji wa mwisho pia asante sana
Sawa mkuu ntakutafta soon bei nzuri sana kwetu wafanyabiashara na watumiaji wa mwisho pia asante sana
Katibu mtendaji JF-Expert Member Joined Feb 14, 2015 Posts 700 Reaction score 244 Apr 2, 2016 #3 Kibaha sehemu gani mkuu.