Titu Bwai Member Joined Jul 18, 2015 Posts 27 Reaction score 1 Jul 19, 2015 #1 Nauza Laptops aina zote... mpya na used zote zipo... bei ni kuanzia 300,000/- na kuendelea... piga au tuma msg #0714 009817
Nauza Laptops aina zote... mpya na used zote zipo... bei ni kuanzia 300,000/- na kuendelea... piga au tuma msg #0714 009817
Idimi Platinum Member Joined Mar 18, 2007 Posts 15,623 Reaction score 11,635 Jul 24, 2015 #2 Titu Bwai said: Nauza Laptops aina zote... mpya na used zote zipo... bei ni kuanzia 300,000/- na kuendelea... piga au tuma msg #0714 009817 Click to expand... Naweza kuapata Dell Latitude E6430? kwa gharama gani?
Titu Bwai said: Nauza Laptops aina zote... mpya na used zote zipo... bei ni kuanzia 300,000/- na kuendelea... piga au tuma msg #0714 009817 Click to expand... Naweza kuapata Dell Latitude E6430? kwa gharama gani?
mpinga shetani JF-Expert Member Joined Nov 22, 2010 Posts 3,234 Reaction score 960 Jul 24, 2015 #3 Hapana. Huna ubavu wa kuuza laptop za aina zote. Wewe unaweza kuwa na Dell, Toshiba na HP tu, ambazo ni za kibongo bongo. Huwezi kuwa na Mac au Sony
Hapana. Huna ubavu wa kuuza laptop za aina zote. Wewe unaweza kuwa na Dell, Toshiba na HP tu, ambazo ni za kibongo bongo. Huwezi kuwa na Mac au Sony
moto nkali JF-Expert Member Joined Aug 15, 2012 Posts 378 Reaction score 216 Jul 25, 2015 #4 huyu atakuwa anapokea na oda pia
C CHUAKACHARA JF-Expert Member Joined Jun 3, 2011 Posts 12,387 Reaction score 6,481 Jul 25, 2015 #5 Titu Bwai said: Nauza Laptops aina zote... mpya na used zote zipo... bei ni kuanzia 300,000/- na kuendelea... piga au tuma msg #0714 009817 Click to expand... Uko wapi, physical inspection is important. I need Toshiba
Titu Bwai said: Nauza Laptops aina zote... mpya na used zote zipo... bei ni kuanzia 300,000/- na kuendelea... piga au tuma msg #0714 009817 Click to expand... Uko wapi, physical inspection is important. I need Toshiba
bab-D JF-Expert Member Joined May 2, 2015 Posts 1,335 Reaction score 404 Jul 26, 2015 #6 mpinga shetani said: Hapana. Huna ubavu wa kuuza laptop za aina zote. Wewe unaweza kuwa na Dell, Toshiba na HP tu, ambazo ni za kibongo bongo. Huwezi kuwa na Mac au Sony Click to expand... Mkuu aina hizi zina kamera?
mpinga shetani said: Hapana. Huna ubavu wa kuuza laptop za aina zote. Wewe unaweza kuwa na Dell, Toshiba na HP tu, ambazo ni za kibongo bongo. Huwezi kuwa na Mac au Sony Click to expand... Mkuu aina hizi zina kamera?