Wanajf nauza kiwanja kwa bei ya tsh 4.5ml mazungumzo yapo eneo kipo lyamkena makambako mkoani Njombe kimezungushwa uzio wa miti yenye miiba kina hatua 40 & 26 nusu ya ekari Huduma ya Umeme imesogea kipo katikati makazi ya watu hakijapimwa simu 0752 - 048709