Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,161
Kama jibu ni ndio...nitaamini kweli vyuma vimekaza mbaya! Vinginevyo kiwe cha mchongo
4mil kwa 20/40 au 20/20 madam?
Wakuu, maelezo yanajitosheleza ya mleta mada, kiwanja ukubwa wake ni 20 kwa 40 kinauzwa 4m. Labda kama mnataka apandishe bei halafu akose mteja ndani ya muda muafaka kwake.Kama jibu ni ndio...nitaamini kweli vyuma vimekaza mbaya! Vinginevyo kiwe cha mchongo
Sawa boss!Wakuu, maelezo yanajitosheleza ya mleta mada, kiwanja ukubwa wake ni 20 kwa 40 kinauzwa 4m. Labda kama mnataka apandishe bei halafu akose mteja ndani ya muda muafaka kwake.
Sorry, wewe ndio Jesca?Kiwanja tambarare bila muinuko chenye ukubwa wa mita 20/40 kinauzwa.... (Hivi ni viwanja viwili vya mita 20/20).
Kipo kiluvya mbele ya kwa sumaye
Kituo unachoingilia kutokea morogoro road ni kiluvya madukani.
Kiwanja kina documents za serikali ya mitaa na mchakato wa kufwatilia hati za wizara ya ardhi unaendelea katika ngazi ya kata kwa viwanja vyote vya eneo hilo.
Bei ni milion 4 ila maongezi yapo.
Kwa maswali yoyote kuhusu eneo hili, kuona na mengineyo mpigie Erick kwa namba 0657002544.
Asanteni.
We hujui vimekazaaa....Kama jibu ni ndio...nitaamini kweli vyuma vimekaza mbaya! Vinginevyo kiwe cha mchongo