Wadau kama kawaida kitu hiki hapa!
1. Project Manager – Democratic Empowerment Project - P4 - https://jobs.undp.org/cj_view_job.cfm?cur_job_id=36200
2. Operations Manager- Democratic Empowerment Project- P4 https://jobs.undp.org/cj_view_job.cfm?cur_job_id=36194
3. Chief Technical Advisor – Democratic Empowerment Project – P5 https://jobs.undp.org/cj_view_job.cfm?cur_job_id=36199
Best regards
KakaKiiza sijakuelewa vizuri,nimshukuru kwa jambo lipi?Je ulimshukuru aliyeweka hilo tangazo??
sio mimi mkuu! kuna jamaa anajiita itahwa hapaJF alitoa ushuhuda kuwa YESU alimsaidia kupata kazi UN! sasa mimi nilikuwa na nukuu kwa reference tu! soma vizuri hiyo link ya kwanza niliyopostNaomba kuuliza yawezekana mimi sijakuelewa je hilo hiyo kazi umeipatia humu JF??kama jamaa alivyo uliza kama kuna mtu alishawahi kupata kazi UN??
sio mimi mkuu! kuna jamaa anajiita itahwa hapaJF alitoa ushuhuda kuwa YESU alimsaidia kupata kazi UN! sasa mimi nilikuwa na nukuu kwa reference tu! soma vizuri hiyo link ya kwanza niliyopost
KakaKiiza kushukuru ni jambo jema hasa kwa member wa jf wanaojitahidi kuweka matangazo ya kazi,ata mimi kibarua nilipata baada ya kusoma tangazo hapa JF! ipo siku nikipata muda nitalitafuta hilo tangazo na kuli link hapa na kumpa shukrani mleta hiyo thread! maana watu huwa hatukumbuki tulikotokaMimi nilijisikia raha na faraja baada yakuja mtu nakuniambia nimepata kazi UN kwa tangazo uliloliweka!!Alikuwa anahishi Austraria akaliona bahati nzuri alikuwa amekuja jumla tanzania aliomba kazi akiwa nje kufika tu TZ akaitwa kwenye interview nakufanikiwa kupata kazi baadae akanipim nakusema nimepata kazi kutokana na tangazo lako na kwa sasa nipo kazini ikabidi nijiulize huyu mtu ninani nikauli kwa watu waliokuwa recruited je kuna mtu aliona kazi JF akajitokeza na kwasas tupo wote office moja!Maisha yanendelea!
Nikweli kabisi bora mtu anajisikia poaKakaKiiza kushukuru ni jambo jema hasa kwa member wa jf wanaojitahidi kuweka matangazo ya kazi,ata mimi kibarua nilipata baada ya kusoma tangazo hapa JF! ipo siku nikipata muda nitalitafuta hilo tangazo na kuli link hapa na kumpa shukrani mleta hiyo thread! maana watu huwa hatukumbuki tulikotoka