Pata generator kwa bei poa

Karibuni wadau, kwa mahitaji ya generator.
 
Kama hii being gani?.
 

Attachments

  • 1419782009600.jpg
    57 KB · Views: 205
Submersible water pump 1hp=0.747watts inaweza endeshwa na 1.5kv?
 
Tumekwisha karibia tunasubiri ujibu maswali kwanza ndiyo tuje. Mie nataka kwa ajili ya matumizi ya nyumbani lakini sitaki inayopiga makelele je nitapata?
 
UPDATE
Sasa tunayo, Boss 6.5kv. Inatosha kwa matumizi ya nyumbani na ofisi ya kawaida.

Inaweza kusukuma fridge,pasi,taa za ndani na nje.

Pia inaweza kusukuma, Ac ya HP 1.5 mpaka 2hp. Computer zisizo pungua 4,fen na photocopy.

Ina warrant ya mwaka 1.
Inaweza kutumia mafuta 1lt kwa masaa 2.[/QUOTE]

Hii ni sh ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…