Pata generator kwa bei poa

Bizney

JF-Expert Member
Aug 2, 2013
454
48
Wakuu Generator zinauzwa bei poa.
1.5kva. Tsh.350,000
2.5kva. Tsh.550,000
3kva. Tsh.750,000
5kva. Tsh.1,250,000
5kva Diesel eng Tsh 2.2m
10kva Diesel eng Tsh.8m
ZOTE NI MPYA.

Aina ya Generator ni. Firman, Rme , Kingmax, Kipor na Honda. Guarantee ni mwaka 1 inahusisha engine tu.
Kwa mawasiliano piga. 0773 944944

UPDATE
Sasa tunayo, Boss 6.5kv. Inatosha kwa matumizi ya nyumbani na ofisi ya kawaida.

Inaweza kusukuma fridge,pasi,taa za ndani na nje.

Pia inaweza kusukuma, Ac ya HP 1.5 mpaka 2hp. Computer zisizo pungua 4,fen na photocopy.

Ina warrant ya mwaka 1.
Inaweza kutumia mafuta 1lt kwa masaa 2.
 
Wakuu Generator zinauzwa bei poa.
1.5kva. Tsh.350,000
2.5kav. Tsh.550,000
3kva. Tsh.750,000
5kva. Tsh.1,250,000
6kva Tsh.1,300,000
5kv Diesel eng Tsh 2.2m
10kv Diesel eng Tsh.8m
Kwa mawasiliano piga. 0773 944944
Hapa ni baadhi ya picha za generator kama zinavyoonekana.
 

Attachments

  • IMG_20141204_114053.jpg
    579.3 KB · Views: 1,404
  • IMG_20141204_114135.jpg
    671.7 KB · Views: 1,276
  • IMG_20141204_114036.jpg
    568.5 KB · Views: 1,278
  • IMG_20141204_114243.jpg
    635 KB · Views: 1,105
  • IMG_20141204_114149.jpg
    557.7 KB · Views: 1,177
Mkuu nitumie number yako pm tafadhali kama hautajali, au uiweke hapa kwa uzi.
 
1.5kv inaweza kusukuma k2 kama frigi,tv na taa na matumizi mngne ya kawaida ya ndani
 
Mkuu mimi sio mtaalamu sana wa generator , nasikia kuna generator ambazo zinatumia mafuta kidogo kwa kipindi kirefu, naomba nichukue la aina ngani kwa ajili ya computer,photocopier, printer,drier na mambo mengine ya saloon
 
Sasa tunayo, Boss 6.5kv. Inatosha kwa matumizi ya nyumbani na ofisi ya kawaida.

Inaweza kusukuma fridge,pasi,taa za ndani na nje.

Pia inaweza kusukuma, Ac ya HP 1.5 mpaka 2hp. Computer zisizo pungua 4,fen na photocopy.

Ina warrant ya mwaka 1.
Inaweza kutumia mafuta 1lt kwa masaa 2.
 

Hapa ni kama inavyoonekana.
 

Attachments

  • IMG_20141211_090854.jpg
    496.6 KB · Views: 688
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…