Pata bati kwa bei ya kiwandani

uta

Member
Joined
May 1, 2012
Posts
54
Reaction score
24
Bati aina zote rangi upandayo,kofia,na misumali.kwa bei ya kiwandani.okoa garama,jenga kwa kununua bati kiwandani.
It 4&it5(migongo mikubwa) gauge30 @7500 kwa meter

It 4&it5(migongo mikubwa) gauge28@9000 kwa meter

Versatile (za mikunjo) gauge30@10800 kwa meter
Gauge28@12000 kwa meter

Corrugated(migongo midogo) nyeupe bundle@205000=16 pieces gauge30

Za rangi migongo midogo gauge28 meter@8000
Gauge30@7000 kwa meter

Misumali 1kg 8000
Kofia 12000@1piece=3meter
Tupo tazara

 
Nina wasiwasi na ubora kwa bei hiyo.
 
Reactions: uta
Nice kweli unazijua bei za bati hongera bro,ila hyo bei ni za agent ila final user huwez pata kwa bei hyo,ila mpk uplekw na sisi wa mauzo
 
Kama una mawasiliano mengine tupia humu.
 
Isikute ni Yale baada ya mwaka yanakutu ukawatia watu umaskin
Na maisha haya.
 
Nice kweli unazijua bei za bati hongera bro,ila hyo bei ni za agent ila final user huwez pata kwa bei hyo,ila mpk uplekw na sisi wa mauzo
Hapo nimekuelewa, kwa bati hanidanganyi mtu
 
Isikute ni Yale baada ya mwaka yanakutu ukawatia watu umaskin
Na maisha haya.
Kutu hutokea pale chuma+maji+oxygen vinapo corride na moja ya kitu kinachozuia kutu ni coating rangi so bati lililo na rangi ni ngumu kupata kutu
Pia bati linalotengenezwa kwa alonzic pia lina prevent unyevu ambao unaeza sababisha kutu
 
Ni offer ya muda mfupi au ndo mmeamua hivo hadi mwisho wa dahari??
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…