Passo inauzwa 6 Millions

starson85

Senior Member
Joined
Jan 19, 2015
Posts
146
Reaction score
14
Maongezi yapo, cheki picha.

KM: 68,000.

Namba: 0656 43 66 62 uliza chochote

 

Attachments

  • picmix-812015-182546.jpeg
    23 KB · Views: 1,384
Chukua 4 faster....km vp nipm
 
6M unaagiza Brevia mpya kaka plus kodi ya serikali na kuitoa bandarini
 
Ndugu zangu nimeweka nmba ya simu haina kutuma msg ni rahisi sii ngiisana jf naomben radhi kwa usumbufu passo zipo nyi.gi sana nichekin kwenye simu
 
6M unaagiza Brevia mpya kaka plus kodi ya serikali na kuitoa bandarini

Ni kweli ila yeye anauza Toyota passo we agiza Brevia unayoitaka ambayo hata sijui unaigazia kutoka nchi gani? Maana ni ngeni sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…