PART TIME

Lisament

Member
Joined
Jun 9, 2019
Posts
7
Reaction score
7
Habari, naitwa Lisa ni mwanafunzi wa mwaka wa pili bachelor degree in Business Administration (BBA). natafuta part time job. Mawasiliano 0676868660
 
Kuwa makini na mafisi mdogo angu
Maadamu umeamua kutoa namba sio kila atakaye kuja atakuwa ana nia ya dhati kukusaidia.

kila la kheri katika hitaji lako.
 
Kuwa makini na mafisi mdogo angu
Maadamu umeamua kutoa namba sio kila atakaye kuja atakuwa ana nia ya dhati kukusaidia.

kila la kheri katika hitaji lako.
Maisha ni kupambana...wengine wamefanikiwa kutokana na muonekano wao,cha muhimu tu ajiamini
 
Msimuonee huruma kwa sababu ni binti wa chuo tuu, hawa mabinti wa chuo kuna baadhi ya sehemu wanajiuza kabisa so hapo inaweza kuwa ni ngoma droo kabisa!

Aisee nipe location pia.. mnakuwaga wabichibichi nyie[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Part time job we second year ya nini wakati huu ndo muda wa kufanya field chaa we bhna emu kalipie tangazo
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…