Sidhani kama kuanzisha chombo kutasaidia kuondokana na tatizo hili. Haya mambo yanaenda kwa nguvu za demand and supply na ndo maana frame zote zinajaa. Wewe wakati unashangaa shangaa na kujishauri, wenzako wanalipa na ukija kesho kuulizia unaambia tayari pameshachukuliwa.we acha tu ndugu yangu, yaani haina maana kabisa..naishaur serikali ianzishe chombo cha udhibiti kwenye mambo haya ya pango na hata ununuzi wa viwanja. kwa hali hii ujasiriamali nchini utaendelee dumaa.