Software za kucrack siyo nzuri, mimi nikiwa na uwezo wa kununua software ambazo hazizidi 50 - 80$ nanunua tu, leo nimetoka kulipia software ya doodly 64$.Rafiki yangu kanunua kaspersky kwa 35k yenye MB300 halafu ina user wawili.
Anaamini kwamba antivirus za mtandaoni si salama jambo ambalo si kweli kwasababu hata hizo za kwenye CD zimetolewa huko huko kwenye mitandao
Sasa kanunua CD kafanya installation halafu sasa kwenye ku activate zile licence zinagoma so mchizi kapigwa
Technolojia inakua kila kukicha na saizi hatuko kwenye soko la CD tena kulinganisha na miaka ya nyuma. Na ndio maana PC latest hata mlango wa CD nowdays haziwekwi. Kama antivirus unataka kununua unaweza uka request licence kwenye official website ya antivirus husika tena kwa bei nzuri (japo mimi hii pia nayo sikubaliani nayo)
Nishajiwekea kiapo kwamba katika huu ulimwengu wa tech wenye manguli wakucheza na cracking software sitokuja kulipia software yeyote
Au hadi humu namo kuna watu wenye spirit hiyo ya kuamini bidhaa za kwenye maduka za mfumo wa CD ni bora zaidi na kuzidharau hizi za mtandaoni?
CD kwenye cover imeandikwa 2020-2021 lakini code licence hazikubali nadhani hii ilikua target mwezi wa 12 mwaka jana halafu ije ifikie kikomo mwezi huuKupigwa inategemea na yeye ana uzoefu gani kwenye ununuzi wa software, huenda CD aliyonunua Activation Keys zilikuwa mwisho wake wa kutumika ni 2020.
Last time kutumia software ya kwenye CD ilikuwa ni last year, nili-install Kaspersky Antivirus ambayo ilikuwa Activation Keys zake mwisho wa kutumika ni 2020.
Kwa software kama za Antivirus ni bora kutumia official packages kuliko cracks. Pia ununuzi wa CD ni salama zaidi kuliko kununua mtandaoni kwa wale wasio wazoefu na manunuzi na malipo ya mtandaoni, hii ni kwa usalama wa fedha zao pale wanapotumia details zao za bank.
Kuna watu bado wananunua nyimbo 500 za audio na 1000 za videoRafiki yangu kanunua kaspersky kwa 35k yenye MB300 halafu ina user wawili.
Anaamini kwamba antivirus za mtandaoni si salama jambo ambalo si kweli kwasababu hata hizo za kwenye CD zimetolewa huko huko kwenye mitandao
Sasa kanunua CD kafanya installation halafu sasa kwenye ku activate zile licence zinagoma so mchizi kapigwa
Technolojia inakua kila kukicha na saizi hatuko kwenye soko la CD tena kulinganisha na miaka ya nyuma. Na ndio maana PC latest hata mlango wa CD nowdays haziwekwi. Kama antivirus unataka kununua unaweza uka request licence kwenye official website ya antivirus husika tena kwa bei nzuri (japo mimi hii pia nayo sikubaliani nayo)
Nishajiwekea kiapo kwamba katika huu ulimwengu wa tech wenye manguli wakucheza na cracking software sitokuja kulipia software yeyote
Au hadi humu namo kuna watu wenye spirit hiyo ya kuamini bidhaa za kwenye maduka za mfumo wa CD ni bora zaidi na kuzidharau hizi za mtandaoni?
huko torrent unatumia freebasics ku downloads hizo software?Unachanganya kati ya umasikini na utandawazi, nyie bongo hamnunui original software ni kwa sababu masikini torrent zinawaokoa.
USA simu yako ama laptop maafisa wakiikutwa na torrent app mzee Miez 6 inakuhusu Jela, No bail.
Torrent sini bure mzee, kumbe unalipishwaga ase.huko torrent unatumia freebasics ku downloads hizo software?
hapo ukishakua na KRT CLUB mchezo kwisha, unaipelekesha kaspersky unavyotaka wewenatumia Kaspersky Pure 3.0 kwa miaka sasa, natumia trial ya 30-days ikiisha natumia resetter program , inaanza trial upya
software pekee nimewahi nunua ni Connectify, ilikua $50 kitambo icho , kwa licence ya lifetime
bure, ukitumia mtandao gani?Torrent sini bure mzee, kumbe unalipishwaga ase.
Kiongozi naitaji hip resseter software... Kama hutojalihiyo ni trial ila kuna ya full version hapo inauzwa sijui dola ngapi unaweza fatilia kama uko interested
ila kama mdau wa crack chukua hiyo hiyo ya trial nakutumia resseter