Pambano la Cheka limeanza muda huu kupitia channel Star Sports 1 limengia kwenye raundi ya tatu. Cheka anajitahidi sana. Watu wamejaa sana mithili ya watazamaji wa Yanga na Simba. Tumpe sapoti.
Pambano la Cheka limeanza muda huu kupitia channel Star Sports 1 limengia kwenye raundi ya tatu. Cheka anajitahidi sana. Watu wamejaa sana mithili ya watazamaji wa Yanga na Simba. Tumpe sapoti.
Kuna kipindi alikuwa anafanya mazoezi kwa kusukuma tairi la trekta msimchukulie huyo gobachori poa anaweza kuwa fundi kweli au cheka wetu kaisha jichokea
Wapiganaji wa bongo wengi nimewaangalia huweza kushinda lakini michezo yao haina utaalamu sana wana kauzito au kauzubaifu fulani, hushinda tuu kwa maguvu pale kwa bahati watakutana na mpinzani ambaye hana wepesi wa kutosha.