Mkuu huwa natumia but inafika muda ina expire vipi yako hapo.Hahah mkuu unatakiwa uchague folder zako ambazo utataka ipite nazo..vinginevyo utaskia vyote
Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Ahaha ndio nachagua hapa... nilikuwa na musixmatch ila hii ni kisangaHahah mkuu unatakiwa uchague folder zako ambazo utataka ipite nazo..vinginevyo utaskia vyote
Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Huyu muhuni ameshafanya mambo nimeweka wananambia asante kwa kununuaIlibidi niinunue tu..., iko vizuri sana hii yaani hadi video inaplay katika format ya audio
Sent from my SM-G532F using Tapatalk
Mkuu.. Wewe ni noma. Nilishahangaika kununua nikaishia kadi yangu kuzuiliwa tu.. Naona now mambo safi.Ni kwel kabisa mkuu..iko poa sana
Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Mkuu wewe ulinunua?Hii kwa android tu mkuu..itabd uvute subira huenda watatoa kwa IOS
Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Nilishatumia za kucrack sanaa....hawa jamaa huwa wanacheki licence verification kila baada ya 24 hrs...iko siku tu watakushika....nikaona isiwe inshu...nikaingia playstore nikainunua kwa 2700tsh...ili nifaidi vemaHuyu muhuni ameshafanya mambo nimeweka wananambia asante kwa kununua
Mkuu.. Wewe ni noma. Nilishahangaika kununua nikaishia kadi yangu kuzuiliwa tu.. Naona now mambo safi.
Sent using Jamii Forums mobile app