Wanasema eti wakati wa shida ya njaa kula kitimoto ruksa. Sasa uhalamu wake uko wapi? Ndio maana kwa Wabongo twende kazini kitimoto kama ........?Sasa si wafuge Kitimoto mbona watapata wateja wengi sana. hapo bongo ndo usiseme
jamii ya watu hawa wengi ni wanafikiWatu wa ajabu hawa, aaakh. Huu unafiki uatawaisha lini hawa?