Hapana nipo Dar mkuu?Ndo manaake wanataka kugegedana hao ila km uko.simbawanga watu hao😛😛
Inaweza ikawa ni jirani zako hao wamekuja kukusalimia mkuy
Ndugu zangu,baada ya mihangaiko ya kutwa nzima sasa nataka kupumzika,cha ajabu kuna paka wawili wanapiga kelele karibu na nyumba yangu,nimewafukuza lakini bado,ukweli nakosa usingizi!.Hivi mipaka kulia hivi ni dalili ya nini?,au ndo wanataka kugegedana?.