Mdadamwema. Senior Member Joined Aug 7, 2014 Posts 156 Reaction score 173 Jun 16, 2022 #1 Salaam wakuu, Nauza gari aina ya Pajero GDI. Ya mwaka 2002. Rangi ni nyeusi. Namba B. Cc 1500. Bei 5 million. Gari ni yangu mimi mwenyewe na haina tatizo lolote. Karibuni.
Salaam wakuu, Nauza gari aina ya Pajero GDI. Ya mwaka 2002. Rangi ni nyeusi. Namba B. Cc 1500. Bei 5 million. Gari ni yangu mimi mwenyewe na haina tatizo lolote. Karibuni.
ACHIKOYO JF-Expert Member Joined Mar 21, 2022 Posts 312 Reaction score 353 Jun 16, 2022 #2 Mdadamwema. said: Salaam wakuu Nauza gari aina ya Pajero GDI. Ya mwaka 2002. Rangi ni nyeusi. Cc 1500. Bei 5 million. Karibuni. Click to expand... Namba gani?
Mdadamwema. said: Salaam wakuu Nauza gari aina ya Pajero GDI. Ya mwaka 2002. Rangi ni nyeusi. Cc 1500. Bei 5 million. Karibuni. Click to expand... Namba gani?
mbenda said JF-Expert Member Joined Apr 13, 2019 Posts 1,083 Reaction score 2,098 Jun 16, 2022 #3 Mbina picha chache tangazo fupi?
Nshomile wa Muleba JF-Expert Member Joined Dec 5, 2015 Posts 2,165 Reaction score 5,642 Jun 16, 2022 #4 ina tatizo gani? Plate number ?? picha huna zingine? Hili gari lako au we dalali? mbna hauandiki tangazo kwa ueledi
ina tatizo gani? Plate number ?? picha huna zingine? Hili gari lako au we dalali? mbna hauandiki tangazo kwa ueledi
mbarika JF-Expert Member Joined Apr 1, 2015 Posts 7,424 Reaction score 10,024 Jun 16, 2022 #5 Lizima kweli??? Au limechoka sana number plate A au TZ
Mdadamwema. Senior Member Joined Aug 7, 2014 Posts 156 Reaction score 173 Jun 16, 2022 Thread starter #6 ACHIKOYO said: Namba gani? Click to expand... Ni namba B mkuu
Mdadamwema. Senior Member Joined Aug 7, 2014 Posts 156 Reaction score 173 Jun 16, 2022 Thread starter #7 Rwehumbizadarlin said: ina tatizo gani? Plate number ?? picha huna zingine? Hili gari lako au we dalali? mbna hauandiki tangazo kwa ueledi Click to expand... Gari haina shida yeyote mkuu, ni yangu mimi mwenyewe na ni namba B.
Rwehumbizadarlin said: ina tatizo gani? Plate number ?? picha huna zingine? Hili gari lako au we dalali? mbna hauandiki tangazo kwa ueledi Click to expand... Gari haina shida yeyote mkuu, ni yangu mimi mwenyewe na ni namba B.
Mdadamwema. Senior Member Joined Aug 7, 2014 Posts 156 Reaction score 173 Jun 16, 2022 Thread starter #8 mbarika said: Lizima kweli??? Au limechoka sana number plate A au TZ Click to expand... Ni nzima kuliko unavyofikiria tena imara hasaaa
mbarika said: Lizima kweli??? Au limechoka sana number plate A au TZ Click to expand... Ni nzima kuliko unavyofikiria tena imara hasaaa
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 44,766 Reaction score 132,262 Jun 16, 2022 #9 Mdadamwema. said: Gari haina shida yeyote mkuu, ni yangu mimi mwenyewe na ni namba B. Click to expand... Sasa kwa nini unaficha hizo namba?
Mdadamwema. said: Gari haina shida yeyote mkuu, ni yangu mimi mwenyewe na ni namba B. Click to expand... Sasa kwa nini unaficha hizo namba?
Mdadamwema. Senior Member Joined Aug 7, 2014 Posts 156 Reaction score 173 Jun 16, 2022 Thread starter #10 Tate Mkuu said: Sasa kwa nini unaficha hizo namba? Click to expand... Nimeweka wazi hapo juu,ni namba B
Tate Mkuu said: Sasa kwa nini unaficha hizo namba? Click to expand... Nimeweka wazi hapo juu,ni namba B