Pagale linauzwa Dodoma

Good Neighbour

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2017
Posts
942
Reaction score
899
PAGALE LINAUZWA CHANG'OMBE EXTENSION

1.Pagale liko chang'ombe extension(mahali palipojengeka kisasa na sio chang'ombe uswahilini kule)

2.Kiwanja chake kina ukubwa wa 540 SQM

3.Kiwanja kimepimwa na kina hati kubwa(miaka 99)

4.Bei ya pagale hili ni milioni 22 tu

5.Lina
Sebule Kubwa
Dinning
Jiko
Stoo ya Jiko
Room 4 Mbili Self.
Kati ya hizo self Masta ni kubwa na ina walk in closet (sehemu ya kubadili nguo)
---pia tayari mashimo ya choo yameshachimbwa na kusakafiwa
--pia tayari kuna fensi upande mmoja

NB; Kumbuka bei ya kiwanja tu maeneo hayo kwa ukubwa huo ni kati ya 14-16 Milioni
0622111186
0767833496
 
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…