Microwaves ndo zimepitwa na wakati.
Ushawahi kula keki iliyotoka kwenye oven sekunde kama kadhaa hivi?
Unaweza kufananisha na microwavable, lets say pizza?
Ujanja mwingi mara nyingine huwa mbele kiza.
Kama unaitaka wewe nitakupa hata bure maana nakufahamu unapenda sana mtelemko,ila ukubali tu masharti yangu ambayo siwezi kuyataja hapa hadharani hivyo nifuate kwenye Private Message.Mbona vitu vyangu vingi nimekupa Oven kitu gani bwana mradi tu ufuate masharti yangu nitakupa bure kabisa sitaki hata sh.moja yako.