ubuntuX JF-Expert Member Joined Aug 18, 2014 Posts 1,998 Reaction score 2,242 Jan 6, 2015 #1 the pic say it all Attachments 1420513969975.jpg 23.3 KB · Views: 392
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,702 Reaction score 48,147 Jan 6, 2015 #2 Wenyewe wanakuambia wanapokuwa stata ndio huwa wanajiamini zaidi
Wilbert1974 JF-Expert Member Joined Feb 10, 2011 Posts 1,632 Reaction score 481 Jan 6, 2015 #3 HARUFU said: Wenyewe wanakuambia wanapokuwa stata ndio huwa wanajiamini zaidi Click to expand... Kufukia shimo na bumps!!!
HARUFU said: Wenyewe wanakuambia wanapokuwa stata ndio huwa wanajiamini zaidi Click to expand... Kufukia shimo na bumps!!!
Cathode Rays JF-Expert Member Joined Nov 3, 2011 Posts 1,738 Reaction score 1,495 Jan 6, 2015 #4 Jamani Kama kuna ukweli hivi....kuna jamaa niliwahi muona Dar Rose Garden karibu na Sayansi kapanda yuko ndwii nikajiuliza atafikaje jamaa wakaniambia anafika salama tu mbona....nikaishia tu kujisemea duuuh
Jamani Kama kuna ukweli hivi....kuna jamaa niliwahi muona Dar Rose Garden karibu na Sayansi kapanda yuko ndwii nikajiuliza atafikaje jamaa wakaniambia anafika salama tu mbona....nikaishia tu kujisemea duuuh
Mbimbinho JF-Expert Member Joined Aug 1, 2009 Posts 8,326 Reaction score 7,807 Jan 6, 2015 #5 Aseeeeeeeee
mbongo_halisi JF-Expert Member Joined Apr 16, 2010 Posts 7,756 Reaction score 6,296 Jan 6, 2015 #6 ubuntuX said: the pic say it all Click to expand... Cha kushangaza viongozi tunao na wasimamizi wa sheria barabarani wapo.
ubuntuX said: the pic say it all Click to expand... Cha kushangaza viongozi tunao na wasimamizi wa sheria barabarani wapo.