osama noma

shit nimekosea kuweka link..how do i delete this topic?
 
mkuuu
amgalia mkono wa kulia chini
utaona edit post bonyeza hapo
upande wa kulia tena chini neno la tatu
DELETE.. kazi kwisha:mod:
 
hahahahahahahah nimecheka
angalia ulichoandika halafu na AVATAR yako
vinaendana kweli mmhhh

Afro unajua nimecheka sana jamaa kataka kuatach picha alafu imemchomolea alafu anataka imediately kuifuta, Najaribu kupata picha jinsi alivokuwa anahangaika kuifuta, alaf kitu nyingine ni Imeshawahi kunitokea, I love my avatar!
 
Sekulu kama ulikuwepo vile nimehangaika kinoma
 
Afro unajua nimecheka sana jamaa kataka kuatach picha alafu imemchomolea alafu anataka imediately kuifuta, Najaribu kupata picha jinsi alivokuwa anahangaika kuifuta, alaf kitu nyingine ni Imeshawahi kunitokea, I love my avatar!

hahhahhahha lol
dahh kweli vichekesho
nampa pole sana jamanii
and I LOVE YOU ARE AVATAR TOO....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…