Ukiangalia ushauri aliowapa unajua kabisa anawapotosha.Eti anasema wawafungulie mashitaka wananchi wa kawaida wanaotaka kulishinikiza bunge libadili katiba!!!!! Mashtaka gani hayo yamekaa hovyo kisheria kama hayo
hebu ona raisi anavyoshauri.
"president Paul Kagame has said it is a 'good thing' for the opposition Green Party to file a law suit against a request by Rwandans pushing parliament to amend article 101 of the constitution to allow him to run for third term.
Kesi kama ikifunguliwa kama Kagame alivyoshauri itatupiliwa mbali.Mwananchi wa kawaida hawezi badili katiba anayetakiwa kuburuzwa mahakamani ni bunge na Raisi Kagame.
Raisi Kagame katoa Ushauri huo asije buruzwa mahakamani yeye au bunge kwa kusigina katiba ya Rwanda mjanja sanaaaaaaaa!!!!!!