OPPO A57 Clean

iamthomas

Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
65
Reaction score
52
Nauza Oppo A57, Storage yake ni 64gb kwa Tshs 180,000 tu.
Mzigo upo Clean Sana, Nichek 0654506090 au WhatsApp+255763546090.
Tunafanya Delivery na Mikoani tunatuma kwa Uaminifu mkubwa
 
Ni za zamani sana,utakuta inatumia android 5
Kuna nyingine nilitaka ninunue 90,000 nikaona android sijui 8.1.
Siku iyo hiyo nikawa namsetia simu dada fulani yenye android kama hiyo. Nikaona whatsapp wakati wa ku-install inasema kuanzia oktoba itakuwa no longer available kwenye hiyo device, aisee sikurudi kwenye simu ya kwanza.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…