Operator/Muendeshaji wa Kijiko anahitajika

LENJENTZ

Member
Joined
May 21, 2013
Posts
69
Reaction score
10
Tunahitaji operator mwenye uzoefu wa kuendesha vijiko,kijiko tulicho nacho ni "3DX Super Backhoe Loader​
​
4WD Gross Engine Power 92hp Standard GP Shovel Capacity 1.1cum Travel speed – 40kph (25mph)

Ni kama trekta kubwa lenye kijiko cha kubebea na kumwagia kwa mbele

Tafadhali tuma CV au namba ya simu tuu inatosha

kwa info@lenjentz.com au recruitment@lenjentz.com
 
Habari mkuu mimi ni operator wa wheel loader na dozer niko dar es salaam namba zangu ni 0757430913, 0784245273 niko gongolamboto nielekeze hiyo loader ilipo nije na cv leo leo leo!

ungetuma CV mkuu kwenda hizo email.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…