Habari wa Jf,
Nina mdogo angu aliumwa ghafra, Akapelekwa Hospital tatizo ilikuwa anaumia kwenye scrotum moja ikavimba kwa muda akawa anapata matibabu lakin haikupungua ikabidi mzee amuamishe hospital hospital aloenda wakamwambia inatakiwa hiyo scrotum moja inabid itolewe baada ya kumfanyia utra sound ili isiambukize nyingine.
Na wamemwambia kuwa kuitoa hiyo moja hakuna madhara yeyote ataendelea ku sex na kupata watoto kama kawaida lakin baada ya Operation now ni kama miaka mi tatu yupo chuo fulan().
Sasa leo kanipanga kuwa toka alivyo fanyiwa hiyo operation Show amekuwa hapigi Fresh and Yupo na Mwenza afu anapiga show lakin mwenzake hajawahi shika ujauzito so kaniuliza kama tatizo itakuwa ni hiyo Operation au La
Nmeona niwashirikishe wana Jf
Majibu kwa Doctors na wenye experence ya hiyo Issue