moodykabwe
JF-Expert Member
- Aug 16, 2015
- 625
- 602
Ile mbaula itakuja kuwachinja siku moja, hivi ndege alizoleta JPM hawazioni hadi wanang'ang'ania huo mkangafu wao?nimewaona yanga na basi lao wakipita bagamoyo road sijui wanaenda wapi?
Ile mbaula itakuja kuwachinja siku moja, hivi ndege alizoleta JPM hawazioni hadi wanang'ang'ania huo mkangafu wao?
Wako Tanga mkuunimewaona yanga na basi lao wakipita bagamoyo road sijui wanaenda wapi?
Wako Tanga mkuu
Yaan wanaangaika sanaBro itakua cku iz ule mchongo wa jezi aupigi!