Operation GIDEON’s CHARIOT iko mbioni kuanza!!!

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,000
Reaction score
7,618
Afisa mkuu wa usalama: Mashambulizi ya hivi punde zaidi katika Ukanda wa Gaza ni ujumbe kwa Hamas

"Hii ni fursa ya mwisho kufikia makubaliano kabla ya kuzindua Operesheni ya Gideon's Chariots."

Chanzo hicho kiliongeza kuwa mashambulizi makubwa ya hivi punde yalikuwa yakitayarisha eneo hilo kwa operesheni kubwa ya ardhini.

Attachments

  • IMG_2888.jpeg
    81.1 KB · Views: 16
Adui mbaya ni wa ndani

Wanataka wasafishe kwanza ndani

Ila ni huruma kwa watoto na kinamama hakuna hata muda wa kutoana upwiru😋
 
Adui mbaya ni wa ndani

Wanataka wasafishe kwanza ndani

Ila ni huruma kwa watoto na kinamama hakuna hata muda wa kutoana upwiru😋
Cha kushangaza hao jamaa kuanzia Oct 07,2023 wamezaliana kama nzige!! Maana wao hata ukutani tu wanatoana upwiru!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…