OPEN UNIVERSITY

Jux08

Member
Joined
May 21, 2017
Posts
55
Reaction score
16
Ukizungumzia vyuo vikuu tz, utakutana na wanaosema kuwa udsm, mzumbe n.k ndo vyuo bora zaid huku Open university wakiponda vby..lkn ukiangalia ranking unakuta open inaizidi mzumbe..tatzo ni nn
 
Official ranking site ni webometrics.com
 
Tatizo ni mazoea ya kukariri tu.Waliosoma Open huwa wapo deep sana tofauti na watu wanavyodhani.

Jamaa zangu wanaofanya kazi nao maofisini huwa wanasimulia sana kwa hao jamaa waliojipinda kumaliza masomo yao.
Ukizungumzia vyuo vikuu tz, utakutana na wanaosema kuwa udsm, mzumbe n.k ndo vyuo bora zaid huku Open university wakiponda vby..lkn ukiangalia ranking unakuta open inaizidi mzumbe..tatzo ni nn
 
Tatizo ni mazoea ya kukariri tu.Waliosoma Open huwa wapo deep sana tofauti na watu wanavyodhani.

Jamaa zangu wanaofanya kazi nao maofisini huwa wanasimulia sana kwa hao jamaa waliojipinda kumaliza masomo yao.
Yeah, mtazamo huo si mzuri nafkir
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…