unapendeza sana please naomba ujilinde unijali babe naitaji pendo lako sina mwingine nimeshiba penzi lako unaposhika shikilia usiachie nahaidi kukulinda,kukutunza nijukumu langu mimi nakutazama kwa jicho la tatu la upendo hii nikama zawadi niliyopewa na mungu nikiwa nawe na enjoy maisha yangu tukioneana huruma hata balaa halitatufika nikiteleza nikaanguka nishike mkono ninyanyue unipanguse
jua nina mapenzi yakweli mpaka shetani anaogopa ukubwa wa mapenzi nikutengeza familia nijali ntakutunze moyo wangu anataka unipende...
Enzi zetu za barua!, ishu inapodondoka mtaani kabla haijafika kwa mhusika.
Siku hizi naambiwa mnatumia whatsapp, mxit, sms, PM, etc kumfikishia mrembo ujumbe kama huu!
Enzi zetu za barua!, ishu inapodondoka mtaani kabla haijafika kwa mhusika.
Siku hizi naambiwa mnatumia whatsapp, mxit, sms, PM, etc kumfikishia mrembo ujumbe kama huu!