PERAMIHO YETU
JF-Expert Member
- May 25, 2018
- 6,288
- 17,329
NakukataliaKiukwel mm n shabik wa Liverpool kindakindaki kwa muda wa miaka 28 Sasa toka nianze kujua hisia za mpira nikimaanisha furaha na uchungu wake...
mkuu bayern wametenga kiasi gani na mane mshahara watampa ngapi maana uongozi wa liverpool wanamdharau sana jamaa.Kumuacha Mane, unamaanisha hawamuongezei mkataba au unamaanisha wamzuie asibebwe na Bayern?
Pesa iliyowekwa mezani si ya kitoto lakini, si watawatengeneza wakina Mane wengine mkuu? Kwani naye si kawikia hapo kama Salah tu!

Dollar millions ishirini na tano. Ila liva waliikataa but nasikia psg wameamua kuchagiza hiyo vita ya kumtaka Manemkuu bayern wametenga kiasi gani na mane mshahara watampa ngapi maana uongozi wa liverpool wanamdharau sana jamaa.
Kabla ya Liverpool kufika hapo alieitoa kule chini ni kocha sasa we tulia klop lazima aje na mbinu mpya, timu nzuri ikiwa na kocha mzuri lazima awe na mbinu za ushindiKiukwel mm n shabik wa Liverpool kindakindaki kwa muda wa miaka 28 Sasa toka nianze kujua hisia za mpira nikimaanisha furaha na uchungu wake...
Tatizo wamiliki wanaona Klopp ni baba miujiza.Kiukwel mm n shabik wa Liverpool kindakindaki kwa muda wa miaka 28 Sasa toka nianze kujua hisia za mpira nikimaanisha furaha na uchungu wake...