Hatari sanaUchaguzi umekaribia.
Jina lake lenyewe nianuani tosha kuwa sio mtanzania.Wamfukuzie Burundi hiyo
Mwagona holowane!!Mimi Msafwa wa Mbeya kesho msije kusema eti mi ni raia wa Kongo🙄
Watanzania wa huko wakiugua wasikubali kutibiwa na Mrundi huyu,wagome kabisaa maana ni Mrundi.Família yake ilihamia ngara miaka ya 1970 ikitokea Burundi na kuishi nchini kama wakimbizi bila kupewa uraia yeye na kaka yake wakasomea ngara na kujichanganya na watanzania na kuingia kwenye Siasa .
Japo wanangara walimkataa akiwa CHADEMA kwa sababu ya uraia wake akiwa Dk Mkuu wa hospital (teuli)ya Murugwanza ya ngara akahamia biharamulo na kujiunga na CCM kisha kugombea ubunge na kuwa namba moja kabla hajakatwa jina na kubakia mwakilishi wa vijana taifa mpaka sasa.
Kwa sasa Dk Ssebuyoya ni Dk Mkuu wa hospital teule ya Biharamulo na anatuhumiwa kujaza warundi wenzake hospital hapo huku watanzania wakibaki hawana kazi .amulikwe haraka
Kwa kuwa onyo la Mkuu wa majeshi lipo bayana na serkali kupitia Mh .Rais amekubali kufanyia kazi basi Kuna haja ya vyombo vya uchunguzi vimulike watu kama hawa wanakuja nchini kwa malengo ovu .
USSRView attachment 2928321
RUKWA kuna MNYARUANDA Mwenyekiti wa Ccm mkoa tena Anataka kugombea UBUNGE NKASI NCHI HII HAINA MWENYEWEFamília yake ilihamia ngara miaka ya 1970 ikitokea Burundi na kuishi nchini kama wakimbizi bila kupewa uraia yeye na kaka yake wakasomea ngara na kujichanganya na watanzania na kuingia kwenye Siasa .
Japo wanangara walimkataa akiwa CHADEMA kwa sababu ya uraia wake akiwa Dk Mkuu wa hospital (teuli)ya Murugwanza ya ngara akahamia biharamulo na kujiunga na CCM kisha kugombea ubunge na kuwa namba moja kabla hajakatwa jina na kubakia mwakilishi wa vijana taifa mpaka sasa.
Kwa sasa Dk Ssebuyoya ni Dk Mkuu wa hospital teule ya Biharamulo na anatuhumiwa kujaza warundi wenzake hospital hapo huku watanzania wakibaki hawana kazi .amulikwe haraka
Kwa kuwa onyo la Mkuu wa majeshi lipo bayana na serkali kupitia Mh .Rais amekubali kufanyia kazi basi Kuna haja ya vyombo vya uchunguzi vimulike watu kama hawa wanakuja nchini kwa malengo ovu .
USSRView attachment 2928321
WENYEWE WANAJISEMA WAO SIO ASILI Yyetu...tz.... mamlaka zikiwasogelea wanajiapiza kuwa ni wa tz na sio kutoka huko... tena kama mtu akiwa na kaasili ka ututsi....atajifaragua huyo....kama ni mdada acha kabisa... watz tunaponzwa na kutojikubali na kudhamini sana vya vigeni...au wageni...Hayo majungu; kasoma hadi kuwa mganga mkuu wilaya, mkimbizi angepata wapi ujasiri kujiunga chadema nyakati kama za magufuli? Zama ambazo hadi kina Niwemugizi walipata msukosuko!
Kuna kasumba mbaya sana imejengwa kwamba waha na wahangaza si raia wa nchi hii, sijui aliyeianzisha alikuwa na lengo gani hasa.
Tiwe makini jamani hawatu wakiingia wanavutana kama smaku na kushika fursa za raia wa tanzania. Ni nepotist kwelikweli.Família yake ilihamia ngara miaka ya 1970 ikitokea Burundi na kuishi nchini kama wakimbizi bila kupewa uraia yeye na kaka yake wakasomea ngara na kujichanganya na watanzania na kuingia kwenye Siasa .