Onyo kwa walevi

Jay Mato

Member
Joined
Dec 17, 2014
Posts
69
Reaction score
6
Msimu Huu Wa Sherehe Na Shamra Shamra Za Krismasi Na Tunapoelekea Kuukaribisha Mwaka Mpya Nataka Nianzishe Oparesheni Moja Inayojulikana Kama, "Operation Vunja Mayai Mabichi Kwa Makalio Ya Walevi." Kama Wewe Ni Mlevi Mwenye Hulka Ya Kulewa Hadi Unajisahau Na Kulala Kwenye Mtaro Kana Kwamba Umefungiwa Nyumba, Basi Dawa Niko Nayo. Nikikupata Nakuvua Suruale Natanua Makalio Yako Halafu Nakuvunjia Yai Bichi Pale. Ukiamka Asubuhi Ukihisi Unyevu Nyevu Na Utelezi Utelezi Najuwa Utajiuliza Ni Nani Kakukeshea,,,hahahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…