Ongezea hapo ya kwako

nilikuwa sikujui vizuri waheed suday......................
umeanza kurithi mikoba ya excellent............................
network connectet 100%....................
 
Wewe ni mweusi hadi ukipita kwenyd lami uaacha footsprint
 
Sister ako ni mnono akivaa yellow watoto wakimuona wanadhni ni school bus.
 
We ni mwembamba adi unavaa rubberbend kama mkanda
 
We ni mbaya adi sokwe wakikuona wanakukimbia.
 
Kwenu ni wachafu hadi nguruwe wanaugua matumbo.
 
1. Ati wee ni m-black mpaka ukiingia kwa dinga (gari), dirisha zinakuwa tinted!

2. Kwenu kuchafu mpaka mende zinatema mate, ati ‘THU’ hii hao (HOUSE) ni noma.

3. Vile wewe mfupi, ukipigwa picha ya passport inatokea full.

4. Kwenu nyi wakristu hata dogi zenu zikiona mwizi anaiba, zinawaambia “wee iba tu Mungu anakuona.”

5. Ati hao (house) yenu ina gate lakini hakuna fence.

6. We’ ni mshort mpaka ukikalia kwa pavement (sakafuni) miguu ina hang kwa hewa.

7. We mjinga mpaka uli-fail blood test.

8. Wewe ni mblack mpaka mosquito ikitaka kukuuma lazima itumie torch.

9. We ni mrefu mpaka ukikunywa maziwa inafika kwa tumbo ikiwa mala (MGANDO/MTINDI).

10. Wewe ni mweusi ukikanyanga makaa unawacha footprint za black kwa makaa.

11. Nyanyako (bibi yako) mzee mpaka chawa za nywele yake hutembea na bakora.

12. Ati nyinyi ni wengi nyumbani kwenu yaani buda (baba) yenu hajui majina mpaka huwaaddress kama wananchi. (KAMA RAISI ANAPOTOA HOTUBA)

13. TV yenyu ni Ndogo lazima ufunge jicho moja ndio uone picha.

14. Wewe mblack mpaka unasweat soot.

15. Wewe mnono mpaka ukivaa yellow watoto wanafikiria ni schoolbus.

16. Manzii (mpenzi) wako ni m ugly mpaka alikataliwa ku act horror (movie ya kutisha) Hollywood.

17. Nyumba yenyu ni ndogo mpaka lazima utoke nje kuchange mind.

18. Kwenyu nyinyi ni wengi mpaka kwa hao (house) kuna round-about.

19. Kwenyu nyinyi ni wadaft (WAJINGA) mpaka kupata driving license ilibidi mpelekwe boarding school.

20. Nywele za watoto wenyu ni ngumu mpaka mnazitumianga kama steel wool.

21. Mko wengi kwa hao (house) mpaka kuna rush hours na kukinyesha kunakuwa na jam.

22. Wewe ni mshort mpaka ukishuka kutoka kwa zile vitanda double decker lazima utumie parachute.

23. Ati TV yenu ni ndogo hadi wasee wa news huanza kwa kusema ...ati munatuona jamani?

24. Sistaako ni ugly mpaka monkey ikampatia ndizi.

25. We mblack mpaka ukikutana na mzungu afternoon anakushow good evening?

26. Ngombe yenu mzee mpaka inatoanga yogurt.

27. Kwenu kumekauka mpaka ngombe yenu hutoa milk powder.

28. Wee ni mzee mpaka ukiumwa na mosquito zinatema mate

29. Paka yenu noma mpaka iki shika panya inaitisha chumvi, fork na pilipili.

30. Kwenu nyinyi ni wengi mpaka mkipigwa family photo wengine wanatokea kama wame hang (ning’inia) kwa frame.

31. TV yenu ndogo mpaka wasee wa News (watangazaji wa habari) wamepiga magoti.

32. We mrefu mpaka ukianza kuvaa underwear mbichi by the time ifike kwa magoti imekauka.

33. Nyumba yenu ni chafu mpaka cockroach huvaa slippers (malapa).

34. Budako (baba yako) ni ****, alienda ku-buy ngombe akaona ikikojoa akasema, sitaki hiyo, imetoboka
 
Una kichwa kikubwa mpaka ukitaka kunyolewa lazima wakufanyie survey
 
Kwenu wengi mpaka mkipika chapati mnatoa photocopy ndo zitoshe familia nzima
 
Aiseee baba yungu naona huu uzi mmejaza wawili 2 mapaka nimekosa sehemu ya kuandika futeni basi na sisi tuandike


nangoja mbege ya kulalia
 
teh teh teh noma sana Ati we ni mbaya na unatisha mpaka kujiangalia kwenyekioo unaenda na bunduki
 
We ni mjinga eti unacatwalk kwa nyumba ndio panya ziogope
 
Kwenu ni watu wa dini mpaka ugali mnasonga na msalaba
 
Demu wako amekonda hadi akivaa t-shirt ya voda utasema ni simcard
 
Kwenu kuko na security tight mpaka geti mmefungia ndani
 
Nyie ni wakali mpaka usiku mnalinda nje alafu mbwa mnafungia ndani
 
eti kanisa lenu linatumia teknolojia mpaka ibada munafanyia facebook sadaka munatolea mpesa ushuhuda youtube
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…