Ongezea hapo ya kwako

pitbull

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2011
Posts
596
Reaction score
186
Kwenu wachoyo mpaka mkimeza mate mnajificha.......! Kwenu ni slow learners mpaka mlirudia sunday school...! Tv yenu ni ndogo hadi usain bolt akikimbia anamalizia mbio kwa jirani....! Kwenu mko wengi hadi kwenye korido mmeweka bounce na trafik light....! We ni **** mpaka uliweka majani ya chai kwenye sprite ndio iwe cocacola.....! Una kichwa kidogo hadi ukisoma gazeti m2 akipita kwa mbali unaweza kusema ni fullstop! Kama vp ongezea utani bc!
 
Ndio bwana dokta ulimboka ameshuka leo kutokea uwanja wa ndege
 
Kwenu mmezaliwa wengi mpaka baba yenu hawajui majina akitaka kuongea nanyi anasema ndugu wananchi
 
We mrefu mpaka ukinywa maziwa fresh yakifika kwa tumbo yanakuwa mgando
 
Una kichwa kubwa mpaka ukiingia exam room unambiwa ,no group work
 
Ati umekonda mpaka ukiingia kwenye daladala konda anasema, "hatubebi miwa"
 
we ni mjinga ,mpaka siku ulienda kununua big G ulipewa ya kijani ukasema haijaiva
 
Ati wee ni mweusi mpaka wameandika...SCRATCH TO REVEAL kwenye I.D yako ya shule
 
Eti we ni kikojozi uliyeshindikana mpaka mama yako kakuandikia kibao kwenye kitanda chako "onyo kali, usikojoe hapa"
 
Shule yenu imezeeka mpaka school motto imezima
 
We ni mjinga mpaka viatu vyako vimeandikwa vaa hivi
 
Wewe ni mrefu mpaka ukiitwa unaitika next week
 
We ni mjinga mpaka ulienda kwa dentist ukamwomba akungolee bluetooth kwenye simu
 
Tv yenu imezeeka mpaka inazimwa na maji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…