Ongeza Spidi katika Smartphone/Tablet Yako

nimefuata maelekezo mpk no. 42, hiyo launcher sijaiona mkuu hata baada ya ku'restart simu na kuizima bado cjaiona mkuu
Yani iko hv kama hujaiona lunch inabidi simu u restart yani uzime na uwashe tena hapo itakuwa imeshajiweka vzury yenyewe automatic
 
nimefuata maelekezo mpk no. 42, hiyo launcher sijaiona mkuu hata baada ya ku'restart simu na kuizima bado cjaiona mkuu
Ametoa option mbili, amesema baada ya kufika kwenye all app angalia kama kuna launcher kama hakuna basi malizia kwa kurestart simu na hapo itakuwa tayari.
 
Ahsante sana mkuu, nami nitawapa msaada wa picha kwa wale mnaotaka maelezo ya picha.
 
Asante MKUU.SIMU YANGU ILIKUWA SOKONI KWA KUWA INA speed ndogoooooooo.Sasa Hivi mpaka Naiogopa.MAANA ilikuwa ukifungua programs mpaka aibu. Kuna cku nilikoda namba ya CM KWA KUWA DU ANA HARAKA NA SIMU KUWAKA TU DK 1
 
Asante MKUU.SIMU YANGU ILIKUWA SOKONI KWA KUWA INA speed ndogoooooooo.Sasa Hivi mpaka Naiogopa.MAANA ilikuwa ukifungua programs mpaka aibu. Kuna cku nilikosa namba ya CM KWA KUWA DU ANA HARAKA NA SIMU KUWAKA TU DK 1
 
Asante kwa kutufungua macho,, nimeona Matunda ake,mana ulkuwa ugonjwa wangu mkubwa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…