Ongeza Spidi katika Smartphone/Tablet Yako

Duuu spidi imekuwa ya hatar ila application zangu zimevurugika, Zingine zilikuwa karb ss hv mpaka nizifukunyue ndan huko
 
Kwa wenye windos phone na ss tuletee ma udabwi udabwi hayo
 
Nimefanya naona kweli kuna tofaut kubwa kati ya mwanzo na sasa,mkuu naomba kufahamu na hasara zake ili nichague moja.
 
Kiongoz mm nina shida moja hap inanisumbua kichwa, Nina HUAWEI Y360 sasa hii simu ni product ya Vodacom nikiwa na maana ya kwamba, hii simu ni double line, ambapo lain namba1 ni closed kwa Vodacom tu, ni locked na ukiweka lain nyngn tofauti na Vodacom, inahitaji unlock code.
Kinacho niumiza kichwa zaid ni kwamba hii simu network ya 3G ipo kwa lain namba moja tu Hiyo ya Vodacom, na lain namba2 in 2G,
So vip inawezekana kupata Hizo unlock code, ili niweze kutumia lain tofauti na voda au vip nikiiflash tatz litaisha au la!
Nisaidien kwa hilo
 
Nafikiria kwanza ntaanzaje, ila jamaa kiboko, pichaa hamna afu simu zenyewe ndio hizo tunatumia kuingia humu jf,
 
Mkuu nimebonyeza hiyo build number ikakubali lakini tatizo vitu vinavyotokea kwangu ni vingi hakuna option ya off mbali baada ya kubonyeza window animation vinatokea hivi, window animation 0.5, window animation 1.5, window animation 1 inaendelea mpaka kumi nifanyeje mkuu kwa hapo simu yangu ni HUAWEI ASCEND G7-L1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…