One Plus One:Smartphone kali kwa bei nafuu

Old Skuli

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2012
Posts
690
Reaction score
178
Kampuni ya OnePlus ambayo ina muungano na Cyanogen,watengenezaji maarufu wa Custom ROM's iliyozinduliwa mwaka jana imetoa simu yake ya kwanza ikiwa na specifications kubwa zaidi kwa bei nafuu sana kulinganisha na simu nyingine zenye uwezo kama huu:
Hizi hapa baadhi ya specifications:

  • 5.5 Inch Display JDI 1080p LTPS IPS with TOL
  • Android 4.4 KitKat CyanogenMOD 11S
  • 3GB RAM
  • 16/64GB Memory
  • 13MP Sony EXMOR IMX214 6 Lens Kamera 4K video recording, 720p slow motion video kwa 120fps
  • 5MP 80 degrees kamera ya mbele
  • Qualcomm Snapdragon 801 2.5Ghz processor
  • 3100mAh Betri
  • Bluetooth 4.1, DualBand Wifi, NFC, USB OTG, MiraCast

Bei yake ina ina-range kwenye $300-350 kwa 16-64GB respectively.

Flagships zinazidi kuongezeka.Smartphones biz inazidi kuwa liberalized!!
Credits:Bongoelectronics
 
@mods
Huu mnaofanya ni uharibifu na kupoteza maana ya uzi huu.Sasa mm nimepost kule jukwaa la tech and gadgets,nyie mnau-move mpaka huku maanake nn? Someni content sio mnakuwa manipulated na TITLE tu...
U better delete it sasa!!!
cc Invisible Young Master, @C6
 
Last edited by a moderator:

Jamaa walivyoona title tu wakajua unapiga business! Machine ipo vizuri hii. Hii bongo ikifika itakuwa kilo sita hivi...
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…