Ondoa pattern, password ulizozisahau pasipo kuflash simu

Nina simu ya promotion Halotel H8401
Nikaweka app ya Gesture lock nikawa natumia sasa baada ya mda igoma ile pasword kutoka nimefanya kila njia nimeshindwa maana kuiflash imeshindikana kwa sababu system chaja njia zake zimekufa.
Upo wapi?
 
Kwahiyo usiniambie kuwa kuweka mapassword ya aina zote tu ni useless... Nadhani kama ni ya wizi hakikisha unabadili na imei kabisa la sivyo ukiwasha tu askari Hawa hapa na mitutu. Ukiokota ni vizuri ukairudisha kwa mwenyewe maana utapata thawabu...
 
Jamaa yangu alidondosha simu mpaka leo hajaipata licha ya kuripoti mpaka polisi.
 
Wanauz mnisaidie hapa. Kuna simu nataka kuireset ila kila nikibonyeza power button na volume up inaniandikia NO COMMAND. plz nifanyeje
 
Mleta mada ni mzee wa zamani hivyo hajui mambo mapya...siku hizi ukifika hiyo hatua inahitaji uwe na email iliyokuwa inatumika kwenye hiyo simu πŸ˜ƒ
 
mfuaji
 
Mleta mada ni mzee wa zamani hivyo hajui mambo mapya...siku hizi ukifika hiyo hatua inahitaji uwe na email iliyokuwa inatumika kwenye hiyo simu πŸ˜ƒ
Wabongo bhana wanapenda sana kukosoa. Hiyo ni njia mojawapo ambayo unaweza kuitumia kutoa password. Kwa simu za android version 5, inatoa kuanzia 6+ unatumia hiyo, ikimaliza unatumia njia za kutoa factory reset protection (Google Account Verification)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…