Ondoa nyama uzembe

Nea

Member
Joined
Aug 15, 2014
Posts
26
Reaction score
2
Je una nyama uzembe iwe tumboni, mikononi, miguuni n.k, je nguo yoyote unayovaa haikutoshi sababu ya nyama uzemebe?? Unapenda kuziondoa mwilini mwako?? Tutafute nasi tukupemaelekezo zaidi whatsapp/text 0787 583880
 
Aisee angalau ungeelezea 'how' ili mtu anakutafuta anajua anakutafuta kwa nini, kwa sababu kuna njia nyingi, mazoezi.., dawa, mikanda, upasuaji nk. Huu utangazaji wa hivi ni kama wa kitapeli tu na sidhani kama watu watapiga
 

Toa details za kutosha mkuu!
How!!!?
 
tangazo halijakaa likaeleweka sidhani kama wtu tutaelewa hapa
 
Hawa ndo walewaleeee. Anakupa vijidonge kadhaa na mwishowe anakwambia inabidi unywe maji mengi kila siku, mazoezi kidogo, punguza wanga, kula protein,matunda na mchicha kwa wingi etc etc.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…