On your free time, please read this

Asante Sana. Nipo katika kipindi hiki juzi tu nimepata ajari ya gari lisilo langu, kazi sina hapa nimejificha Nina zaidi ya stress. Em Mungu nisaidie
Utajificha mpaka lini?
 
Kuna kipindi unajiuliza hapa namove on au nifanyeje,mwisho wa siku unaona heri utulie kwani umehangaika sana yaani unakuwa umekosa wakati unatafuta unahisi labda hatma yako itakuwa bora ukikaa chini bure,Umri wa uongo sana huo.
 
Absolutely True
 
Asante sana kwa kuleta well informative stuffs. Karibia nusu ya vilivyomo humo vina nihusu mpake nimehisi aliendika article ni bro wangu.
 
Kiukweli kabisa kuna siku nilimuona school mate wangu lakini ilinibidi tu nimkwepe maana niliona hata aibu kujitokeza mbele yake.
Hapa nipo najiliwaza na hii ngoma ya Goodluck- Ipo siku
 
Hii ni kweli kabisa,na ni wewe pekee ndie unayeelewa hali ambayo na hata ukimweleza mtu hawezi kuelewa na kufeel kama wewe
 
Haha just entererd but you know what By God's grace i will pull through
 
One of the dopest threads ever!

I love it!
 
True
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…