Vyuo vimefunguliwa rasmi september moja kaka...TULIOPATA TUNAJIJUA.Pole braza jaribu next time.Anway Muscat pako powa ila joto kaliii kitu 40 centgrade.

kawoli si kwamba najibu kwa nyodo ..ninampa ukweli huyu ndugu.Scholarship si rahisi kupata bongo hii.Lazima ujitume kuzisaka.Sasa yy yupo Kanatalamba anategemea apate ma born here here tukose?

Dah hayo majibu yako noma... Eti scholarship siyo rahisi kupata bingo. Kwani we uliombea ukiwa wapi? Na hata km mwenzako yupo kantalamba ndo uoneshe iyo dharau?