Ogopa sana ku-date na mwanamke ambaye hana akili

Hiki chuo gani kimezalisha product ya hivi..??

Au siku hizi watu wanagraduate wakiwa watoto???
Miaka kuanzia mitatu na zaidi ya kukaa chuo ndio graduate unapost upuuz wa dizain hii???
UDOM hiyo Baba bila shaka
 
Kuna watoto wanagonga paper ya la saba wakirudi nyumbani nao watajiunga na JF na kuanza kutoa topiki za ajabu ajabu subirini wiki ijayo
 
Hapa asiye na akili au mshamba ni nani? Nyani haoni kundule!
 
Hivi mtu unajuagaje una akili na wenzako hawana akili.. Bro hapa baada ya kuangalia kwenye VAR tunekubaliana kwa pamoja kuwa HUNA AKILI
 
Mtoto wa kike BK akiliwa kwa mara ya kwanza ndo wanakuaga hvo wanatamani sana kutombwa mpk wazoee ni kaprocess kdg, Sqsa tatzo lako bosi inaonekana wew ndo mara ya kwanza kula maBK thats Y umeshindwa kucontrol hio relationship ungekua ushazoea kuwala madem wa aina hyo ungeweza kumcontrol fresh tu na ukala madem wengine pia mtaani kimya kimya
 
Mi pia sipend kudate na me asiyekua na akili..ni wapumbavu sana
 
Mzee mbona kama wewe ndio hauna akili sasa. .

Au ngoja nisome tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…