Ogopa sana ku-date na mwanamke ambaye hana akili

teheteheteheeeee uliyataka mwenyewe sasaa unayakataa kwa nn si ungeendeleza tu libeneke wee vip bhana..
 
Umeandika upuuzi mtupu,eti we nawe ni muhitimu wa chuo, kmm zk
 
 
Nimehitimisha hivi;
1. Sisi wanaume ni waharibifu nawe ni mmoja wao
2. Dem hana makosa kwani wewe ndiye mtu wa kwanza...aliuamini uongo wako kumbe ulitamani uchi tu.
3. Umemsababishia kukosa imani na wanaume wengine...hatakuwa mwaminifu skijua wanaume ni waongo.

4. Bro katika hili utalipia..kuna mtu atamto..mba dadako au mtoto wako na kumtimua kama mbwa...karma

Tuwaheshimu wanawake bro.
Ungetumia njia bora kuliko hii.
Machozi ya binti yatakupa...slikuwa halisi kwako.
 
Wewe Na huyo dem wote Hamna akili na inaonekana hata huyo mwanamke amekuzidi akili japo wew unadai umemaliza chuo! Unastahili uchapwe fimbo nyingi sana msomi hawezi shusha thread yakipumbavu km hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…